All posts by Konasite

Namna ya Kujiunga na PMbet

WhatsApp Image 2019-09-22 at 14.57.44

Kujiunga na PMbet Tanzania bonyeza hii link http://bit.ly/2Yx0rZ3

 1. Jaza majina yako mawili kisha chagua nchi ya Tanzania.
 2. Weka namba ya simu kwa kuanza na 7… au 6…
 3. Username weka jina moja tu la kutumia au namba yako ya simu.
 4. Weka password/namba ya siri weka tarakimu/herufi tano au zaidi.
 5. Email/Barua pepe jaza kama unayo ila sio lazima.
 6. Weka tarehe, mwezi na mwaka.
 7. Chagua jinsia kisha bonyeza kibox kukubali vigezo na masharti.
 8. Promo code weka A147
 9. Bonyeza Create my Account.

Jiunge na Meridianbet Pata 3500 Bure!

Kujiunga na Meridianbet Tanzania bonyeza hii link https://a.meridianbet.co.tz/c/tlUxQR

 1. Jaza majina yako mawili
 2. Tengeneza password na kisha irudie tena kwa chini yake
 3. Jaza nchi Tanzania
 4. Weka namba ya simu anza na 255…
 5. City – andika mkoa wako
 6. Address – andika mahali unapoishi
 7. Promo code andika 1112
 8. Bonyeza kitufe cha chini (Terms and Conditions) kukubali vigezo na masharti
 9. Bonyeza REGISTER utapokea code katika simu yako
 10. Baada ya hapo ingia sehemu ya Login kisha weka namba yako ya simu anza na 255… na password yako kisha itakuja sehemu ya kuweka code za uthibitisho ulizopewa katika simu yako
 11. TAYARI umefanikiwa.
 12. Kujiunga bonyeza hii link https://a.meridianbet.co.tz/c/tlUxQR

Pata ‘Lipa Kwa Simu’ Bure Katika Biashara Yako

images

Tigo Tanzania imewaletea wafanya  biasha wote huduma ya Lipa Kwa Simu. Ni huduma ambayo inawawezesha wafanya biashara kupokea malipo kutoka kwa wateja wao katika simu baada ya kupata huduma au kununua bidhaa.

Faida Za Huduma Hii

1.Mfanya biashara ataweza kutoa pesa bure bila makato kila siku mara moja kwa wakala wa Tigopesa kiasi chochote.

2.Mteja ataweza kulipia kwa gharama nafuu sana.

3.Huduma hii ni salama kwa biashara mteja akishalipia hawezi rudisha muamala.

4.Huduma hii urahisisha miamala ya biashara kwenda benki na kulipia bili mbalimbali.

5.Mteja na mfanya biashara watapata taarifa za malipo kwa njia ya ujumbe mfupi katika simu zao.

Ili kupata huduma hii piga namba zifuatazo:-

0714602525

0679609025