Kheri Ya Mwaka Mpya 2022

Happy New Year

Kheri ya mwaka mpya kwa wadau wetu wote wa Konasite.com

Tunawatakia mwisho mzuri katika kumaliza mwaka 2021 na mwanzo mzuri zaidi katika kuingia mwaka 2022.

Muombe Mungu akusaidie kama hukufanikisha baadhi ya malengo ya mwaka 2021 akusaidie ufanikishe katika mwaka 2022.

Zingatia haya katika mwaka 2022

  1. 1.Muombe Mungu akusaidie katika kila jambo.
  2. 2.Kuwa na malengo ya muda mrefu na muda mfupi.
  3. 3.Jali afya yako ambayo ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maendeleo.
  4. 4.Kila siku jifunze kitu kipya kitakachokuwezesha kuongeza thamani katika maisha yako.
  5. 5.Usikatishwe tamaa na watu au mazingira.
  6. 6.Usirudie makosa yaliyokufanya usifanikiwe mwaka 2021
  7. 7.Kila ufanyalo likiwa katika mpango wako fanya kwa juhudi na nguvu zako zote ili kupata matokeo mazuri.

Tunakushukuru kwa sapoti yako, tunakutakia kila la kheri katika mwaka mpya 2022.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s