Merry Christmas­čî▓

Merry Christmas ­čî▓

KONASITE tunawatika kheri ya sikukuu ya Christmas katika msimu huu wa mwisho wa mwaka 2021.

Tusherehekee kwa kukumbuka na kuoneshana upendo kwa ndugu jamaa na marafiki ili tumalize mwaka salama kwa kuonesha kuwakumbuka ndugu jamaa na marafiki licha ya shughuli nyingi katika dunia ya sasa.

Muwe na sikukuu njema ya Christmas ­čî▓

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s