Pata ‘Lipa Kwa Simu’ Bure Katika Biashara Yako

images

Tigo Tanzania imewaletea wafanya  biasha wote huduma ya Lipa Kwa Simu. Ni huduma ambayo inawawezesha wafanya biashara kupokea malipo kutoka kwa wateja wao katika simu baada ya kupata huduma au kununua bidhaa.

Faida Za Huduma Hii

1.Mfanya biashara ataweza kutoa pesa bure bila makato kila siku mara moja kwa wakala wa Tigopesa kiasi chochote.

2.Mteja ataweza kulipia kwa gharama nafuu sana.

3.Huduma hii ni salama kwa biashara mteja akishalipia hawezi rudisha muamala.

4.Huduma hii urahisisha miamala ya biashara kwenda benki na kulipia bili mbalimbali.

5.Mteja na mfanya biashara watapata taarifa za malipo kwa njia ya ujumbe mfupi katika simu zao.

Ili kupata huduma hii piga namba zifuatazo:-

0714602525

0679609025

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s